Mi Mmasai
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai
ni kitu najivunia masai fahari yangu
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai
naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai
nadumisha mila ile wengine ilishashindwa
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai
tamaduni yenye nguvu iliyobaki africa
Nimtume nani kwa mama yoyo