Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Majina Yote Jehovah
Dedo Dieumerci & Naomi Mugiraneza
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Majina yote mazuri ni yako eh Johava muumbaji wangu
Nikupe jina gani kwani kila lakiheri ni upekee wako

Umeniponya nakuita Jehova Rapha Mungu, mponyaji wangu
Umeniokoa nakuita Mwokozi Bwana Mungu wa wokovu wangu
Umenipigania nakuita Jehova Nisi bendera ya ushindi wangu

Usifiwe ewe Bwana muumba wangu na nuru yangu wema wako wanijaza moyo
Wewe ndiwe mchungaji wangu tena kiongozi wa maisha yangu wanitazama kama mboni ya jicho lako

Usifiwe ewe bwana muumba wangu na nuru yangu wema wako wanijaza moyoni
Wewe ndiwe mchungaji wangu tena kiongozi wa maisha yangu wanitazama kama mboni ya jicho lako
Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa
Zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki
Nimekupata nikaridhika wewe ni yote ndani ya yote