Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Uniongoze
Janet Otieno
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
mi nakuja mbele zako Baba, tumaini langu nakuwachia wewe
umenitoa mbali sana Baba
Maisha yangu nakupatia wewe
umenilinda mimi mzima, kanipa nguvu kusimama wima ndio maana leo naimba aaah eeihx2
uniongoze kila mahali nitakwenda nitakwendac2
ukibariki kila kitu nitatendax2
Ninapokuwa mnyonge we unipa nguvu Baba
Ingawa mawimbi na misukusuku nyingi sana
wanifariji moyo wangu waniongoza kati njia zako
umenilinda mimi mzima kanipa nguvu kusimama wimax2
Ndio maana leo naimbaaa eeeh
ย