Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Maana Ake Nini
FreshBoys
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Hakuna atakaekwambia unaweza
Ila ukipata wanajisogeza
Ndo hao hao wanajaza meza
Na demu unaempa fedha
Si huku bure tunamega
Akija kwako anajikweza
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Najua kama najua tell me something new
Najua kama wanajua si tunajua
But they acting like they fools
Si tunajua wanatujua ila hawataki kuonekana wanatujua
Wanasubiri waone kwanza tumekua
Man that's some BULLSHIT!
Shpapi flani bad and boujรจรจh
Hawajibu DM hawa follow, hawa pay attention
Labda wakiona una blue tick
Ndio maana wengi wenu mkishoboka kwa waliotoboa
Mna expire wakishawavua vyupi
You get what you give STUPID!
Cha nguoni mwako ndio kikulacho
Maana ake nini unanifwata nikiwanacho?
Maana ake nini nikikosa unapatikana kwa msako?
Maana ake nini ukizikusanya zako zakwako
Za kwangu zakwako?
Niambie maana ake nini
Kua na wana shazi alafu ma snitch yani
Mwamba ila anatabia za ki pisi?
Sa we una pisi kali kwenye simu bebe bebe haziishi
Ila hata moja ikija geto hautishi?
Maana ake nini?
Unakopakopa haulipi hata buku tano
Inakufanya uanze zama kwa miti
Na unavyopenda ma kiki
Ikifika weekend tu vipi leo tunawakaah!??
Hebu lala hio buku utakula pipi
Huyu mwana vipii??
Shit!
Dunia ina mambo mengi bhana
Me natafuta anauliza mbona unaspend sana
Anaanza mpaka ku hate
Kabisa anapata stress nnavyo flex
Kama alinichangia kupata cash Broh!?
Sasa hio maana ake nini?(Maana ake nini)
Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Oya weeh!
Sasa hio maana ake nini?
Kuniuliza unachokiona nini
Unataka kusali hauna dini?
Kipi we unataka?
Huku kwetu hamuwezi fanya nyinyi
Kifo cha mashaka
Ka' Daudi Balali alivoenda chini
Usinitizame chini
Ukiona freshboys in a minute
Ka'unajiamini fanya iwe Pini
Ni kumaanisha waone tunafanya nini
Wauni ka'umeweka pesa straight to the business amini
From the start to the finish
Nilichoskia kwamba wanajiuliza si tutatoka lini?
Tulipofikia babu atuwezi kuanza kujiuliza nini
Usiulize maana IAM wanajua nafanya nini
Me ndo m'beba madini
Yeah Maana ake nini mshua ana mawe alafu una suffer ndo
Nilivyoulizwa kipindi naanza kusaka so
Maana ake nini unahonga alafu hutoi sadaka
Na ibadani ukiwa unasali Kichwan unawaza papa tu
(Mother)
So far nilivyo mademu wanahisi nazuga maana
Naambiwa sijali hawaelewi najali muda
Maana ake nini tu ghafla mwanangu unageuka yuda
Kila nikitoa vyuma wanauliza lini ntachuja
Sasa hio maana ake nini (Maana ake nini)
Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini!?
Sasa hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini? (Maana ake nini)
Hio maana ake nini?
Sasa hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini? (maana ake nini)
Hio maana ake nini?
ย