Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Bwana Yesu yuko Wapi - Beatrice Muhone
Gospel tv
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
bwana Yesu yuko wapi, mpenzi wangu rafiki
njia gani amikwenda, nitamwonaje Mimi
roho yangu yajutiswa, na dhambi na huzuni
Yesu mpenzi wangu mwema, namtafuta kwa bidii
Napaliza sauti yangu, nalia wapi Yesu
ndani mwangu sina raha, mpaka nimwone Yesu
ningekua na mabawa ningeruka upesi, milimani mabondeni kumtafuta bwana angu
Aondoa shida zangu maharibifu yotr, nikiona tabu Mimi anituliza yeye
nitafanya bidii sana kimtafuta popote, sitachoka kutembea mchana hata usiku
Bwana Yesu nitokee rohobinakuita, niondoe na maovu Yesu mwokozi wangu
utilize hamu yangu kaa kwangu daima, nikupende sanan wewe niwe wako milili
Utilize hamu yangu kaa kwangu daima nikupende sana were niwe wakomilee
Nikupende sana were niwe wako milele nikupende sana were niwe wako milele nikupende sana were niwe wako milele
ย