Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Usemi Sina
Nandy
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Shi, The African Princess (ah-uuh)
Konde Boy, call me number one
Bomboclaat
Eeh, yeah
(Its Cukie Dady)
Utadanganya kusema wengine huwawazi
Ukweli ni kwamba wanaume mmeumbwa vichwa wazi
Mpaka nakosa majibu
Hili penzi lishachanganywa na wivu
Mama kanifunza utulivu
Ananinisitiza usikivu baby
Sa' kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini
Uko radhi we uumie furaha nipate mimi
Usemi sina (sina, sina)
Cha kusema sina tena (sina)
Eeh, yeah (usemi sina)
Usemi sina (sina), yeah (sina)
Usemi sina (sina) mm (usemi sina)
Cha kusema sina
Ah-uuh
Bomboclaat
Mapenzi ni maua
Moyoni mwangu yanachanua
Yalishawahi takaga kuniua
Usishangae najishaua
Nilipoteza hamu ya kula
Ndo maana kila anachonipa nakula
Iwe papa ama chura nakula, ndo kisha nakula
Sa' kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini
Upo radhi uugulie utamu nipate mimi (uuh)
Usemi sina (sina), mm (sina)
Cha kusema sina tena (sina) aah-aah (usemi sina)
Usemi sina (sina) mm (sina)
Usemi sina (sina) mm-ah (usemi sina)
Cha kusema sina, siiina, ah-uuh, aah-aah
Nakosa maneno
Yeah, it feels like I'm falling in love for the first time (mm)
I never seen love like this before
Nakosa maneno
Konde Music Worldwide, eii
Konde Boy call me number one
(The Mix Killer)
Usemi sina
ย