Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Ebenezer
Paul Mwai
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Mwoyoni mwangu Yahweh nashukuru sana,
Kwa wema wako na fadhili zako kwangu za milele,
Matendo yako maishani mwangu ya tisha Jehovah
Natamani nifananenawe masiah Siku zote usiye badilika na wakati Elohim umwema
eeeee,,,umwemaaa Yahweh
Ebeneezer nani kama wewe nainama mbele zako ewe ni Mungu,ร2
Natamani ni fanane nawe usiye badilika, uaminifu wako Adonai wa milele na milele, toka utotoni mwangu umekuwa mwema sana, umbali umenileta Yahweh hakuna mwingine kama wewe,
Ebeneezer nani kama Wewe, nainama mbale zako wewe ni Munguร2
Kwa nehema yako Adonai umeihifadhi roho yangu, wengi tulizaliwa nao na wengi sasa wamefariki, wengine hawakujui Yahweh, Mungu mwenye enzi na uzima, lakini kwa nehema yako Shamaah umenipa uhai ni ishi.
Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Munguร2
Wewe uliye nena na Samueli, hutamdharau mwanadamu, usiye tazama maumbile, yake wewe Mungu wa haki, umbali umenileta Yahweh, Ebeneezer wewe ndiye Mungu, Mungu mwenye enzi na uzima, uinuliwe milele yote.
Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Munguร2
Umekua mwema Emanueli,umekua mwema, mwema,umwaminifu,wewe ndiye pumzi uhai wangu nakuabuduร5
๐ต