Skip to content

Mimi Ndimi Njia

Emachichi
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

tazama nimesima aaah,.mlangoni ninapisha yeyote anisikiaye eeh .aanikaribishe eeh mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaaah. mimi ndimi njia na usima usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaa aah aah aah... nira yangu ni rahisiiiih msigo wangu mwepesii. njoni kwangu wenye dhambiii nitawapumzishaaa. mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaaa. mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaa aah aah aah. kwa ajili ya dhamni zenuuu ndipo nikasulubiwaa. kwa ajili ya magonjwa yenuuu ndipo nikaumizwaaa mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaa mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaa aah aah aah kama yule nyoka wa shabaaa musa aliinua . ndivyo hivyo mwana wa munguuu amee inuliwaaa mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaa mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaaa aah aah aah. tazama nimesimamaaaa mlangoni ninapishaaa yeyote anisikiayee aanikaribishee. mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usima mimi ndimi njia na usima wa milele yeyote aniaminiye hatapotea kamwe bali atapata usimaa aah aah aah. mkubali yesu mkubali yesu mkubali yesu uokolewee mkubali yesu mkubali yesu mkubali yesu usamehewee... mkubali yesu mkubali yesu mkubali yesu usameheweee mkubali yesu