Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Neno Moja Nimetamani
Reuben Kigame
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Bwana ni nuru yangu
Nimwogope nani
Yeye ni ngome ya maisha yangu
Sita hofu mutu yeyote
Neno moja nimetamani
Nalo nitakamia
Nikae nyumbani mwake Bwana
Na kumtazama milele
ย
Wajapo maadui zangu
Kiniandama watajikwaa
Nijapozingirwa na majeshi
Sita hofu mimi moyoni
Neno moja nimetamani
Nalo nitakamia
Nikae nyumbani mwake Bwana
Na kumtazama milele
ย
Wewe msaada wangu
Hutaniacha kamwe
Wazazi wajaponiacha mimi
Wewe Bwana wangu kimbilio
Neno moja nimetamani
Nalo nitakamia
Nikae nyumbani mwake Bwana
Na kumtazama milele
Neno moja nimetamani (nimetamani, Baba)
Nalo nitakamia (nitakamia)
Nikae nyumbani mwake Bwana
Na kumtazama milele
Na kumtazama milele
Na kumtazama milele
Na kumtazama milele
Na kumtazama milele
ย