Skip to content

Balini

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

We ndo nyota yangu kama, T.I.D Nikikuudhi usinikimbie, kama Amini Natumaini utanielewa, zaidi yule Beka Nikikuudhi nitakubembeleza kama, Barnaba boy Usinyweshe sumu ya Mapenzi, Usiwe mama mubaya Mimi sio mgeni wa mapenzi, Maumivu nayajua Sio kisa Pombe Pombe, Iliyofanya niropoke Sio kisa Pombe Pombe, Iliyofanya niropoke Oh, Daima na milele, mi nitakuwa nawe, Maisha yangu yote, Kama Marlow! Daima na milele, mi nitakuwa nawe, Maisha yangu yote, Ahhh Hutosema Bora ukimbie, kama Linah Oh ohh Usiende kwa mganga kama, Cassim ohh ohhh Ohh natumaini, Kilio changu umesikia Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta Ohh natumaini, Kilio changu umesikia Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta Isiwe kama yako wapi mapenzi, oh ohhh Uliyoniahidi kama, yake Bella Usinifanye teja wa Mapenzi, Latifah haya Latifah we ndo tu mami, Lati we ndo tu mami Ninataka kuwa nawe, kuwa na wewe tu Ulonifanya kuwa na we, kuwa na wewe tu Embe dodo, embe dodo, Limelala mchangani Kwa huba, na mazoea, uwe wangu wa milele Mapenzi ni, kuvumiliana, nami mpenzi nitakuvumilia Embe dodo, embe dodo, Limelala mchangani Kwa huba, na mazoea uwe wangu wa milele Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani Nitalienzi penzi lako, sitokuacha hasilani Baby, ooh ohhh ahhh eyy Ohh natumaini, Kilio changu umesikia Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta Ohh natumaini, Kilio changu umesikia Ohh natumaini, Machozi yangu utayafuta machozi yangu utayafuta mama, hey machozi yangu, usiniache miye aaahh sijali umenitesa mara ngapi, au nimelia mara ngapi Usiniache miye, ahhh ahhhhhh ahhhh wooooh Usiniache miye uuuuuuhhh wooooooh