Skip to content

Unatosha

Evelyn Wanjiru
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Waa ohh oh Yehee-ee-ee Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Niko mbele zako Bwana, nikikiri watosha Amani yangu yatoka kwako Jehova Nissi, ushindi wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Najua u pamoja nami, umenistawisha, ee Bwana Kibali na upendo wako umenipa, Yehova Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu Ndio maana nasema watosha Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu Uuu. . (unayetosha Baba) ... (nipiganie vita zote Bwana)...mtetezi wangu ni wewe Mungu wangu wewe Oh Baba naomba unipe amani ya roho Bwana Wape wanyonge Bwana amani Bwana tetea walio wanyonge. .wasio na amani Bwana... waliokosa chakula Bwana Wajane na mayatima Yehova Watetee wote, tupe amani kwa sababu watosha... eeeeei Unatosha Mungu wangu ee Haleluya, haleluya unatosha ...ee Unatosha ee, hakuna kama wewe Bwana Mtetezi wangu watosha