Skip to content

Mungu Wetu

Bethu and Highest Praise
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Juu mbinguni, duniani Jehovah hakuna kama Wewe Mataifa yakusifu Jehovah hakuna aliyefana nawe Tunasongasonga songa songa Tunasemasema sema sema Hakuna aliye kama Wewe Mungu wetu, Mungu wetu Hakuna aliyefana nawe Mungu wetu Mungu wetu Halleluyah halleluyah Hakuna aliyefana nawe Mungu wetu Mungu wetu Tumsifu Mungu wetu Tumsifu Mungu wetu Mungu wetu, Mungu wetu Hakuna aliyefana nawe Mungu wetu Mungu wetu Halleluyah halleluyah Hakuna aliyefana nawe Mungu wetu Mungu wetu