Skip to content

Nitakaa Kwako

Neema Gospel Choir
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Nikitafuta pa kujificha sioni Nikitazama milima msaada sioni Nani nimweleze shida zangu Hata usiku wa manane Aache usingizi anisikize Nikitafuta pa kujificha sioni Bwana Nikitazama milima msaada sioni Nani nimweleze shida zangu Hata usiku wa manane Aache usingizi anisikize Aache usingizi anisikize Lakini wewe usiku mchana haulali Utayari kuyajibu maswali yangu Wewe ni rafiki mwema kila siku kwangu Kwako nitakaa milele Lakini wewe usiku mchana haulali Utayari kuyajibu maswali yangu Wewe ni rafiki mwema kila siku kwangu Kwako nitakaa milele Kwako nitakaa milele Hata iweje sitatoka Nitoke kwako niende wapi Maana kwako kuna usalama Kwako nitakaa milele Hata iweje sitatoka Nitoke kwako niende wapi Maana kwako kuna usalama Kwako nitakaa milele Hata iweje sitatoka Nitoke kwako niende wapi Maana kwako kuna usalama Kwako nitakaa milele Hata iweje sitatoka Nitoke kwako niende wapi Maana kwako kuna usalama Maana kwako kuna usalama Maana kwako kuna usalama Mwingine wa kulinganishwa nawe hakuna Hakuna msaada nitakaopata bila wewe eeh Nategemea kwako Bila nguvu zako sitaweza Nategemea kwako Bwana Nategemea kwako Bila nguvu zako sitaweza Nategemea kwako Kwako nitakaa milele Hata iweje sitatoka Nitoke kwako niende wapi Maana kwako kuna usalama Kwako nitakaa milele Hata iweje sitatoka Nitoke kwako niende wapi Maana kwako kuna usalama Maana kwako kuna usalama Maana kwako kuna usalama