Skip to content

Kichwa Tu

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Go down de ting juu mi ni pengting Unataka stingo gani je unataka tyching TTT, Ssaru, Kasabun Aha, mkurugenzi Mtoto nyama kila place mfupa ni kichwa tu Haa, eeh kichwa tu Ati tips kama waiter ah in kichwa tu Haa, eh kichwa tu Torture me inanitorture me Magoli anafunga namwita kocha me Ah fisi fisi poacher me Nataka nikalie napenda sofa mi Gethaa inasonga mnahitaji kujiachilia Na naona ni ka mko mbali mnahitaji kukaribia Ah unaipata bure hauhitajiki kuilipia Mali ni safi na harufu inanukia Wanacheki rangi tunaficha tu kwenye kona Kuna modo flani anahakikisha tunazichoma Wacha zimwouk ziwai corona Kuna morio ilimshika akaseti na akapona Go down de ting juu mi ni pengting Unataka stingo gani je unataka tyching Na tunaendana this is kinda my thing Cheki your Whatsapp saivi nimedrop pin Me na go down de ting msupa mi ni pengting Unakuwanga mali safi, hio mkwela vile unaswing Kifo cha nyuki kula za baada ya kusting Nmecheki your Whatsapp nakuja nimejipin Mtoto nyama kila place mfupa ni kichwa tu Haa, eeh kichwa tu Ati tips kama waiter ah in kichwa tu Haa, eh kichwa tu Mi napenda stamina anataka mahinya Ye husema nyama sio nyama ka nyama ni ya kima Ametoka Umoiner anataka itina Akinipa vitu huku ndani anazama kwa kina Naigonga dakika, ka sixty ishapita Msupa anabaki top cargo mzuka inachachisha Stingo za Jackie chan, chizi ninakuwa kichaa Hamna kubakisha sembe Mluhya anasafisha Go down de ting juu mi ni pengting Unataka stingo gani je unataka tyching Na tunaendana this is kinda my thing Cheki your Whatsapp saivi nimedrop pin Me na go down de ting msupa mi ni pengting Unakuwanga mali safi, hio mkwela vile unaswing Kifo cha nyuki kula za baada ya kusting Nmecheki your Whatsapp nakuja nimejipin Nipe nikupe design ya elClasico Kabla nikufunge ni lazima nichenge stingo Nduki ya mlunje ka Kadenge huskii jo Navimba dude ka napekee fijo Ubebwe kwa Uber na hata kuenda huezi fit Nimeona panty najua kwa box huwezi fit Usifinywe tao hivyo nina --- Go down de ting juu mi ni pengting Unataka stingo gani je unataka tyching Na tunaendana this is kinda my thing Cheki your Whatsapp saivi nimedrop pin Me na go down de ting msupa mi ni pengting Unakuwanga mali safi, hio mkwela vile unaswing Kifo cha nyuki kula za baada ya kusting Nmecheki your Whatsapp nakuja nimejipin Mtoto nyama kila place mfupa ni kichwa tu Haa, eeh kichwa tu Ati tips kama waiter ah in kichwa tu Haa, eh kichwa tu