Skip to content

Nitakuhimidi

Pastor Safari Paul
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Mungu,wewe ni Mungu Matendo yako ni makuu Mungu juu ya Miungu Kweli wewe ni Mungu Mwanzo tena na mwisho Mzee wa siku,hauna mfano Ni mfalme wa wafalme Kweli wewe ni Mungu Nitakuhimidi kati ya mataifa Nitakutukuza milele milele Jina lako bwana,litukuzwe sana Watu wote wajue ubwana Pokea sifa ร— 3 Pokea sifa ร— 3 Pokea sifa ร— 3 Hallelujah,baba unastahili kuabudiwa,kutukuzwa Sifa zako zivume katika mataifa yote Jina lako litukuzwe katika mataifa yote Hakuna Mungu kama wewe,hakuna bwana kama wewe Asante baba,tunakubariki Nitakuhimidi kati ya mataifa Nitakutukuza milele milelee