Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Nakesha
Mabantu
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Ng'achi
Yo, God Father
Si wanapenda kubang
Ok
Nekesha klabu
Na-na-nakesha klabu
Nakesha klabu
Na-na-nakesha klabu (Ng'achi B)
Nakesha klabu
Na-na-nakesha klabu
Nakesha klabu
Na-na-nakesha klabu (Kanee)
Nakula mtaji tutajuaga kesho (nakesha klabu)
Japo pesa ya maji ila nimeitolea jasho (na-na-nakesha klabu)
Oya mapenzi konyo, (konyo)
Nimeinua mikono (kono)
Kamanzi kangu na my best friend
Nimekuta wanakula mdomo kwa mdomo, aya
Skia sasa
Home kuna huyo nyange ma Dj kutwa nyimbo za kizungu
Sijui anajikuta Jigga (nakesha)
Na kuna jirani anaki-Ben 10 usiku anapelekewa moto
Kelele ka kuna msiba (mmh fuck)
(Nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
Daah leo litakufa jitu (nakesha klabu)
(Na-na-nakesha klabu) ah mtaniua wee
(Nakesha klabu, na-na-nakesha klabu) shiii
Bad bad bad (nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
Baby kaniacha usiku umezidi kuwa mrefu (nakesha klabu)
Wenzangu wanaelewa mi nilizama kina kirefu (na nakesha klabu)
Oya wanangu kina (kina)
Mwenenu nilizama kina (kina)
Nilimpa macho matatu na shoo za kibabe
Tatoo nikamchora jina (jina)
Skia sasa
Kusema ukweli nilihudumia
Ili asipate shida ye akaniona danga (nakeshaa)
Yaani hakunihurumia licha ya kumfungulia duka
Mpaka nyuma nikapanga mama
(Nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
Daah leo litakufa jitu (nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
Aah mtaniua wee (nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
(Nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
Bado nipo nipo sana, mtanikuta kesho (nakesha klabu)
Leo kitanda changu ni counter ntalimiss ghetto (na-na-nakesha klabu)
Oyaa wanangu ghetto (ghetto)
Mi ntalimiss ghetto (ghetto)
Hata nikipata bebe tutamaliza toi
Wanangu sirudi ghetto (ghetto)
Skia sasa
Kuna jirani anajikuta mpenja kutwa dirishani kwangu
Makelele ya kandanda (nakesha)
Na kuna swala mi sijalipenda
Home wamenipa skendo eti nauzaga ganja (shit)
(Nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
Daah leo litakufa jitu (nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
Aah mtaniua wee(nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
(Nakesha klabu, na-na-nakesha klabu)
ย