Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Sifa Za Moyo (Choir Version)
Mathias Walichupa
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Wouwo, uwooo, uwooo, uwooo
Wouwo, uwooo, uwooo, uwooo
Wouwo, uwooo, mmh
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako, we MUNGU
Nakuomba ELOHIM, we zipokee
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako, we MUNGU
Nakuomba ELOHIM, we zipokee
Ulikonitoa BWANA wangu
Ni mbali sana, ni mbali sana
Sikudhaniwa, na ulinichagua mimi BWANA
Na udhaifu wangu, ulinipenda mimi, iih
Pasi na sababu, sasa narudisha sifa BWANA
Narudisha Sifa BWANA, na heshima uzipokee
Tena nanyenyekea kwako we nanyenyekea kwako we
YESU mwokozi, wa Maisha yangu
Narudisha sifa BWANA, narudisha sifa BWANA
Na heshima, uzipokee
Tena nanyenyekea kwako we
Nanyenyekea kwako we
YESU mwokozi, wa maisha yangu
Wouwo, uwooo, uwooo
Wouwo, uwooo uwooo
Halleluya, halleluya
Kwa shangwe, nazileta kwa shangwe
Kwa shangwe, nazileta kwa shangwe
Sifa za moyo wangu, BWANA zipokee
ย