Uwepo Wako
Fanuel Sedekia
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Bwana Mungu nimekuja mbele zako
Nimekuja tusemezane
Nimeona matendo yako ya ajabu
Mataifa yametetemeka
Matendo yako ooh yanatisha. aah
Moyo wangu uuh eeh uuh
umekufurahia eeh tu tu tu
sina haja ya kuondoka mbele zako
mahali hapa. ni pazuriii kama nini
eeeh Mungu wangu
uwepo wako umenifunika
REPEAT CHORUS
Nasikia uwepo wako mahali hapa
kwahiyo mahali hapa ni pazuri
kwasababu ya uwepo wako
uniguse uniguse kwa mkono wako
ninajua ...kwasababu ya uwepo wako
eeeh nimee
ร2
hakika hapa nilipo
ni penye madhabahu yako