Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
NIKO
YEYO
Popularity · Low
+
Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
YE
YO
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Na kila siku tunawika
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Na kila siku tunawika
Tumetoka mbali tumefika
Ngoma zinapigwa zina sikika
Tumetoka mbali tumefika
Ngoma zinapigwa zina sikika
Welcome to the East side
Where bare bad tings wanawaza shisha
Sema unachotaka baby nitakuvisha
Ila kua makini mami uko speaker
Said she want designer she a fashionista
Gucci hand bag Prada for her sister
Na leo tuko site tuna kinukisha
MaFlash yamezidi punguzeni picha
Na niko na maNinja
Everything black pamba zote giza
Speakers on blah blah kwenye ndinga
Icy with the cold shades got my freeze up
Don't worry about tonight
ka unataka ringa ringa
Don't worry about the spice baby
It's the season of going out with no reason
Sijui wapi usiniulize
Nakata simu niko bize
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Na kila siku tunawika
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Na kila siku tunawika
Tumetoka mbali tumefika
Ngoma zinapigwa zina sikika
Tumetoka mbali tumefika
Ngoma zinapigwa zina sikika
Take it easy take it easy
Ni kweli tumechoka na tuna usingizi
Na section imejaa mwengine usimwingize
Said she wanna pull up on me on the weekend
Said she wanna pull up on me cause I'm wicked
Confide in me
Tell me all your secrets (your secrets)
Tell me what's your weakness usisite
Napenda unavyo tabasamu usijifiche
Si seti mami?
Ndo kwanza kimewaka njoo kiwashe na mi
Achana na wenzako story zote za nini?
Rumour has it ye ni mkali ila mpole kwa mimi
Ye ni mpole kwa mi
Wezi jua kwa nini
The gang touch down kama si watalii
So come alive in the night time for me
Come alive don't stress when the vibes are free
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Niko na washkaji kibao
Niko na washkaji kibao
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Na kila siku tunawika
Niko na washkaji kibao
Na madada kadhaa
Na kila siku tunawika
Tumetoka mbali tumefika
Ngoma zinapigwa zina sikika
Tumetoka mbali tumefika
Ngoma zinapigwa zina sikika