Skip to content

Ulijuaje Kama Si Umbeya

East African Melody
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Umejuaje umejuaje umejuaje Umejuaje nimefanikiwa umejuaje Umejuaje ukaona fi umejuaje Umejuaje kama si umbea umejuaje Umejuaje umejuaje umejuaje Umejuaje nimefanikiwa umejuaje Umejuaje ukaona fi umejuaje Umejuaje kama si umbea umejuaje Umeyatafuta umeshayapata sasa walia lia Umeyatafuta umeshayapata sasa walia lia Vizuri vyakupita wavikodolea macho Vinono vyakupita wavikodolea macho Vitamu vyakupita wavikodolea macho Wakufuma tumefuma (fumaa) Wakukosa umekosa (kosaa) Wakufuma tumefuma (fumaa) Wakukosa umekosa Sadakta umepata sadakta Sadakta nimefanikiwa sadakta Sadakta umepata sadakta Sadakta nimefanikiwa sadakta Umesikika waamba Wewe bado unagomba Kipi kikusumbua hicho jambo Macho yako kama mamba Wala hujui kufumba Hakikupiti kitu kirembo Umesikika waamba Wewe bado unagomba Kipi kikusumbua hicho jambo Macho yako kama mamba Wala hujui kufumba Hakikupiti kitu kirembo Japo mie sijatamba Wala sio wa kujigamba Lakini sifichi langu pambo Kasirika sasa vimba Bure jua hutaziba Wewe jifunze ujue mambo Japo mie sijatamba Wala sio wa kujigamba Lakini sifichi langu pambo Kasirika sasa vimba Bure jua hutaziba Wewe jifunze ujue mambo Endelea kunichimba Nenda kwa wachawi Gomba Endelea kunichimba Nenda kwa wachawi Gomba Jua Mungu hapigi kwa fimbo Jua Mungu hapigi kwa fimbo Adabu yako elewa Nimefanikiwa mie Nimeongokewa mie Nimejaaliwa mie Unaona fii Uliona mie bung'aa Siachi siachi Siachi siachi Mwambie siachi Unaona fii Niliyekupanda rafoo Siach siachi Siachi siachi Kupanda rafoo siachi Unaona fii Mie kwenda melody Siachi siachi Siachi siachi Kwenda melody siachi Wataka kuliziba jua na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba Wataka kuliziba jua na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba Milango uliyofunga Gonga misumari gonga Fanya ukuta ujenge pia Weka mtu wa kuchunga Utaniona kusonga Sasa Mungu kanifungulia Milango uliyofunga Gonga misumari gonga Fanya ukuta ujenge pia Weka mtu wa kuchunga Utaniona kusonga Sasa Mungu kanifungulia Ulie ukining'onga Eti mi wa moja kanga Hali ishanibadilikia Jahazi kutoka Manga Kwangu limetia nanga Neema sasa nazilalia Ulie ukining'onga Eti mi wa moja kanga Hali ishanibadilikia Jahazi kutoka Manga Kwangu limetia nanga Neema sasa nazilalia Hebu domo lako funga Kwangu mimi utachonga Hebu domo lako funga Kwangu mimi utachonga Jua Mungu ameshanilipia Jua Mungu ameshanilipia Jaza yako elewa Nimefanikiwa mie Nimeongokewa mie Nimejaaliwa mie Unaona fii Uliona mie bung'aa Siachi siachi Siachi siachi Na mie siachi Unaona fii Niliyekupanda rafoo Siach siachi Siachi siachi Kupanda rafoo siachi Unaona fii Mie kwenda melody Siachi siachi Siachi siachi Kwenda melody siachi Wataka kuliziba jua na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba Wataka kuliziba jua na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba na ungo Huwezi kuliziba jua Huwezi kuliziba Kalichagua goma La Kiswahili goma Kalichagua goma La Kiswahili goma Chakacha namchezea habibi namchezea Lelemama namchezea habibi namchezea Usewe namchezea habibi namchezea Hataki biriani yako kalichagua bada langu Hataki biriani yako kalichagua bada langu Sima ya bada hujui kusonga Hujui kusonga sima ya bada Sima ya bada hujui kusonga Hujui kusonga sima ya bada Sima ya bada tamu Ipate mpishi timamu Ipate mpaka vivu Utie na tui gumu Pia chacha ndu ya ndimu Sima ya bada tamu Ipate mpishi timamu Ipate mpaka vivu Utie na tui gumu Pia chacha ndu ya ndimu Ukiila huishi hamu Huishi hamu kuila Ukiila huishi hamu Huishi hamu kuila