Skip to content

paul-clement-mwaminifu

mzigotv.com
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Difficult but not impossible Una wasiwasi, hofu na na mashaka Unahisi moyoni, kama Mungu kakuacha Maana unaona hausongei, Wala huendelei Uko pale pale, kila siku Uko vile vile () Mungu aliyeanzisha safari, tena ataimaliza Na ahadi zote alizosema, yeye atazitimiza Maana alikujua, kabla hujajijua, kabla hujazaliwa Mungu hawezi kukuacha njiani, Safari yako, alianzisha mwenyewe, Asingetaka angekuacha mwanzoni, Unakokwenda yeye anajua () Heh, anajuaaaaaaaa, Ulikotoka, unakokwendaaa, Anajuaaaaa Yeeeee heeeee Atainyosha (Atainyosha njia yako) () Ina mabonde, (kweli) iIna vikwazo (vingi) Atainyosha (njia yako)