Skip to content

Jina La Yesu

Angel Benard
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Jina la Yesu latosha kuponya aliwahurumia walio dhaifu akawaponya na kutakasa vilema aliwahurumia walioonewa na roho waouvu akawaweka huru kutoka kwenye kifungo cha dhambi akatupatanisha na baba yake na Mungu wetu