Skip to content

Si Lazima

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Aah nonini yaeh uh Intruducing bony and frasha Na gabu jessy on this Si lazima eeh si lazima Si lazima tu do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo 1 (Frasha) Si lazima tu-do Tunaweza kwenda kwanza kejani Twende baby tupate majani Leo hakuna cha kukaanga ndani Wacha niku-lick toka kwenye neck Back, lips, mpaka kwa hips Si ati kila saa nikiku-undress Si ati kila saa nitaku-caress Si ati kila saa ni mambo ya sex Si lazima, uh-uh, si lazima Najua baby wee unataka Pia mi matym huwaga nataka Lakini leo mazee mi sijiskii Ata mi mazee kichwa kinauma Tumbo pia naskia ikisokota Na kuna venye naskia kukaokota Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo 2 (Nonini) Ati naskia kukaokota Ngoja, ngoja, ngoja kwanza nivue hii mbota Si lazima tu-do Tunaeza enda jake tuka-chill tu Na huku mi naji-do Kwa korna nikikucheki tu Ka sijiskii jo Tunaeza bonga Wanasemanga mind ndio afrodisiac tosha Nikiangalia trao tu hivi nimetokwa Tuko story yako ishakuwa ngotha Itakuwaje jo story zikikatika Hii movie tunacheki jo manze ikiisha Kwanza hiyo mini umevaa manzee inanimaliza Nataka kugusa lakini jo sitaki Nataka kulala jo wee ushanivua shati Temptation kibao jo sina bahati Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo 3 (Boni aka Bon'eye) Karibia ma Karibia Pata tot Bamba pia Tayari Nishakuambia Sio lazima nitaingia Ni ile day ya kufurahia Hakuna cha ngono ni mziki na gauge Mimi na wee Hadi ngware Kata kiuno Kila kiuno Pata mdundo Ruka bed ma Ruka bed Manzee wanukia Mami wavutia Macho yako pia Pinduka tu Tingisha tu Angusha tu Weka juu aah Wacha tu Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo Si lazima tu-do Tunaeza enda home na tu-chill tu, boo (Gabbu aka Buganya) Dame Anachungulia Kile mi na-do anachanganyikiwa Ananiangalia Kile mi na-want anachanganyikiwa Anachungulia Kile mi na-do anachanganyikiwa Ananiangalia Kile mi na-want anachanganyikiwa