Asili ya mziki
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Mziki asiliyake wapieee mziki niwanani mziki hakuna mwenyewe mziki ni wito.usinione nikiimba ukadhani ninayo furaha...
Kukiwa nasherehe utaimba nyimbo za furaha Ukiwa na shida utaimba nyimbo za masikitiko...
Kama mziki ni uhuni kwanini una sikiliza top 10 shows
Mziki asiliyake wapieeee mziki niwanani mziki hakuna mwenyewe mziki ni wito ...usinione nikiimba ukadhani ninayo furaha ...