Skip to content

苍原的颂灵歌

Popularity · Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Shujaa Unasafirini kwa matakwa ya watu wako Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa Mwishowe mnaunguweni tena majivuni Mwishowe mnaunguweni tena majivuni Ukuu ukuu Kwa wanao ona yajayo Tutaimba wimbo wa mwanga moto, usiku wa giza Matakwa ya watu wako Unachagua vita kwa jina la Shujaa Mwishowe unaunguwa kwaajili ya ndoto Mwishowe unaunguwa tena majivuni Unasafirini kwa matakwa ya watu wako Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa Mwishowe unaunguwa moto kwaajili ya ndoto Mwishowe unaunguwa tena majivuni Unasafirini kwa matakwa ya watu wako Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa Mwishowe unaunguwa moto kwaajili ya ndoto Mwishowe unaunguwa tena majivuni Utukufu A shujaa Geuka kama alfajiri