Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Nitarudia
Orchestre Veve
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Bibi yangu nakulia we
Penzi wangu mi nifanye je
Bibi yangu nakulia
Bibi yangu nakulia we
Mi nakwenda kwetu Zaire
Penzi wangu mi nifanye je
Mi tarudi tutaonana
Bibi yangu nakulia we
Bibi yangu nakupenda
Penzi wangu mi nifanye je
Mapenzi yangu ni yako mama
Bibi yangu nakulia we
Bibi yangu nakupenda
Penzi wangu mi nifanye je
Mimi ni nani kwako mama
Bibi yangu nakulia we
Bibi yangu nakupenda
Penzi wangu mi nifanye je
Mi nakweta hata Uganda
Bibi yangu nakulia we
Mi napika Tanzania
Penzi wangu mi nifanye je
Mi nengia Nairobi
Bibi yangu nakulia we
Bibi yangu nakupenda
Penzi wangu mi nifanye je
Bibi yangu nakulia
Bibi yangu nakulia we
Mimi ni wako baba watoto
Penzi wangu mi nifanye je
ย
Eh mum
You want to leave me alone
I'm going to Zaire
But don't worry baby
I'll come back here
In Nairobi to see you
Don't worry baby
Are you ready
Yes
Are you ready
Yes
Everybody ready
Yes
Please mama don't cry
ย
Eh mum
You want to leave me alone
I'm going to Zaire
But don't worry baby
I'll come back here
In Nairobi to see you
Don't worry baby
Are you ready
Yes
Are you ready
Yes
Everybody ready
Yes
Please mama don't cry
I'll come back here in Kenya to see you baby
Please
ย
Please
ย