Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Sifa Za Moyo
Mathias Walichupa
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Wouwo uwooo uwooo uwooo
Wouwo uwooo uwooo uwooo
Wouwo uwooo mmh
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako we MUNGU
Nakuomba ELOHIM
We zipokee
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako we MUNGU
Nakuomba ELOHIM
We zipokee
Ulikonitoa BWANA wangu
Ni mbali sana
Ni mbali sana
Sikudhaniwa
Na ulinichagua mimi BWANA
Na Udhaifu wangu
Ulinipenda mimi iih
Pasi na sababu uuh
Sasa narudisha sifa BWANA
Narudisha Sifa BWANA
Na heshima aah
Uzipokee
Tena nanyenyekea kwako we
Nanyenyekea kwako we
YESU mwokozi
Wa Maisha yangu (Ooh narudisha)
Narudisha sifa BWANA
Narudisha Sifa BWANA
Na heshima
Uzipokee
Tena nanyenyekea kwako we
Nanyenyekea kwako we
YESU mwokozi
Wa Maisha yangu
Wamaisha yangu uu BWANA
Wouwo uwooo uwooo
Wouwo uwooo uwooo
Halleluya Halleluya
Kwa shangwe nazileta kwa shangwe
Kwa shangwe nazileta kwa shangwe
Sifa za moyo wangu Bwana zipokee
ย