Ikatetemeka Nchi Yote
St. Paul's Students' Choir - University of Nairobi
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
(Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka
Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
(Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka
Na tazama akashuka Bwana,
Mfalme wa Mbingu na dunia,
Mwenye fimbo mkononi mwake,
Ishara yake ni kuchunga kondoo
(Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo)
Matunda ni amani, ni amani
(Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo)
Matunda ni amani, ni amani
Tumshanglie kuhani, Kristu Bwana Mwokozi wetu
Kashinda dhambi na mauti, tuimbe aleluya
Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
(Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka
Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
(Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka
Na tazama akashuka Bwana,
Mfalme wa Mbingu na dunia,
Mwenye fimbo mkononi mwake,
Ishara yake ni kuchunga kondoo
(Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo)
Matunda ni amani, ni amani
(Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo)
Matunda ni amani, ni amani
Jiwe walilolikataa, waashi limekuwa,
Limekuwa jiwe kuu, tena la pembeni
Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
(Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka
Ikatetemeka nchi yote makaburi yakafunguka,
(Giza) Giza likafunika nchi ikatetemeka
Na tazama akashuka Bwana,
Mfalme wa Mbingu na dunia,
Mwenye fimbo mkononi mwake,
Ishara yake ni kuchunga kondoo
(Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo)
Matunda ni amani, ni amani
(Chimbuko ni umoja, chimbuko ni upendo)
Matunda ni amani, ni amani
Ni ushindi kubwa mno, ushindi
ushindi wa pekee, tuimbe aleluya