Skip to content

Siri

Walter Chilambo
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Kama Mungu angechangua watu wake Mimi singekuwepo duniani Kama Mungu angechagua watakatifu Mimi singekuwepo duniani Mimi binadamu, wala si malaika Mengi nimekosea na kukuchukiza Mi nafanya mambo yasiyo stahili Nimevuruga vuruga mipango yako Wanihurumia Mbele ya macho ya wanadamu Nilikuwa nikijificha Kumbe wewe waniona Kwa kujifanya mtakatifu Tena bingwa mkarimu Tena mpole sana Sikio lako, yanisikia Siwezi jificha Sasa nimetambua, mbivu na mbichi ni zipi Sasa ninaelewa, njia salama ni wapi Na nimejua bila ya wewe sifiki Hata nikila pasipo neno lako sishibi Neema yako, ila kwa neema yako Upendo wako, kwa upendo wako Rehema zako zimeniimarisha tena