Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Back Pain
4Mr Frank White
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Na suffer back pain, juu game nime carry
Mvp nigga me ndo steph curry
Naeza kick asss me ndo jeff hardy (wachaaa)
Juu ka n barz na flow ninazo kali kali
Na suffer back pain, juu game nime carry
Mvp nigga me ndo steph curry
Naeza kick asss me ndo jeff hardy (wachaaa)
Juu ka n barz na flow ninazo kali kali
Nkidrop diligent 2 lazima mtaniknow
Straight fire barz nilazima mkabe koo
Next year majaliwa
Staki story ya rentals
Black man winning
Nilazima nistand tall
Nawaingiza kama black ball
King ndani ya castle
Naspread ka virusi (mbaya) lazma mmeze capsules (madawa)
Barz n kibao
Aaih na siko tipsy
Zinoverflow baki traki nyashinski
Na kama si mimi
Haiwezi kua nyinyi
Naomba mnikome mwache pararira nyingi
Aah
Pararira nyingi
Skiza
Yo
Aah
Na suffer back pain, juu game nime carry
Mvp nigga me ndo steph curry
Naeza kick asss me ndo jeff hardy (wachaaa)
Ka n barz na flow ninazo kali kali
Na suffer back pain, juu game nime carry
Mvp nigga me ndo steph curry
Naeza kick asss me ndo jeff hardy (wachaaa)
Ka ni barz na flow ninazo kali kali
Na reminisce take me back siku za nyuma
Nil-piga Ka less adi guanda ikauma hakukuwa deep heat
Si tulipaka Kaluma
Deep shit ndo inafanya najituma yoh
Bado Mokoro anadai keja yake,ah
Bado wasoro wanadai ati ni Pake,ha
Jah jah alishanililia na ndo manaake
Hii Simu ikilia ni mboka na ni ya pakee
Nko maaali wanadai sifai
Hawadai nkitry
Mahasidi wanadai kunichai
WaPharisai si ata Yesu walicrucify
Walifumble I Testify
Mpanda ngazi huskii hashuki
Jeshi ni ya Jah hatutambui izo chuki
Hi ni ya wale wa I wanna bee ka Nyuki
Mungu na Bidii ndo inafanya sishtuki
Aki Walae

ย