Skip to content

Maproso

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Na kwani mi najuta balaa gani iliyonikumba mimi Nilikua naye mchumba wangu aliteitwa maproso Nimiliahidi ndoa ya kifahari Mapumziko yetu yangekweko mombasa Kama ni manyumba na magari ningempa Ila siku ya harusi maproso kantoroka Kaniibia hela na vifaa vyenye thamana Nkapigwa butwa moyo ukanifunguka Oooh maproso Mbona umeamua kunifanya hivi mama Mbona umeamua kuniua mi mapema Nlikupenda sana moyoni we wajua Ukapigwa butwa moyo ukanifunguka aaaah Hera odwar koko Hera okwar chaee Hera dwaro kwee Hera dwaro kwee Hera okwar koko Hera okwar chaee Hera dwaro kwee Hera dwaro kwee Yeah Kesho itakam na nini now that uliniachia mkidi Nilijuaga we ni mdhigidhi But sikudhani itawai kuwa hivi Mkono stinji haijai kua mimi na jo spendangi vipindi Kwa kikao ni vitimbi na ilikua ukiitwa huitiki In the beginning God created eve to decieve me Companion sipingii Na kaa ni bills ni dingli Pay bill yako si mimi Na ujiekee hizo risiti streets zinani-callingi Na nikaa ntaongeza wa pili skuhizi Nanyonga naekea wizki Uskii nachapa ndom haishiki, yoh Nasipmamme