Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
C-4 (Sewersydaa)
Wakadinali
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Nasound vibaya kama guitar imekatika string
Watu wamewaka mbaya hadi wanakaa walking christmas tree
Tuko tired, officiate, doci pia nimsick
Lala nayo na hiyo view ni ka unahepa police
Ok I got four fuckin' phones na ukinicall niko mteja
Scratch hadi bones unadeal na mateja
Stone after stone ni ka nabuild kakeja
Mi ni ka Don Corleone ukinitry hautapenda
Vituko ju ya vitu tuko hadi mnajipata tuko
Soma ka bookworm, hii life haina coupon
Ka hii ina ganji tupo, na ka haina ganji hatupo
Wana mikono refu hakuna sleeve inawatoshea
Kuna biz nahotea, niko dingli ngojea
Niko on my way up naona stares za kunibondea
Wadhi kuna Moncler
Mimosa so ka unapitia from ocha make sure you stop there
Yo!
Vitu hutoka kwa C-1 yangu, ni ma C4
Nani huyo anaingia kwa stu, bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali kutalk
Toka hapa ina ka umeanza kuforce
Vitu hutoka kwa C-1 yangu, ni ma C4
Nani huyo anaingia kwa stu, bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali kutalk
Toka hapa ina ka umeanza kuforce
Ukinicross, unagenya
Ushaanza ku cross-dress umekuwa Semenya
Monday ni mbwenya Mkadinali by tenure
Hamnitaki mi menace kuforce tuliachia terrance
Tunarap hii si tennis, kupost post ya nini
Crap sipendi, kujoke bro, si mimi
Tunachezea golf kwa court ya backe
Na ma fans ni wa cricket
System haitaki tupicket
Kwa ujinga usiniingize
Weekend inaanza Wednesday
Team building with my teammates
Ka kuna siku nataka ifike, tirries Tuesday
Ok so back to today nauliza, "Who is dealing me this bitch?"
"Who is dealing me this shit?"
Adulthood ni scam, nani aliniambia nicum
Rong Rende ndio stamp, i adisie kwa amp
Acha tu za kurun, tusikuwe na za ki cunt
Unajua nini inafanyikaga kwa watu wanarat
Vitu hutoka kwa C-1 yangu, ni ma C4
Nani huyo anaingia kwa stu, bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali kutalk
Toka hapa ina ka umeanza kuforce
Vitu hutoka kwa C-1 yangu, ni ma C4
Nani huyo anaingia kwa stu, bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali kutalk
Toka hapa ina ka umeanza kuforce
Vitu hutoka kwa C-1 yangu, ni ma C4
Nani huyo anaingia kwa stu, bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali kutalk
Toka hapa ina ka umeanza kuforce
Vitu hutoka kwa C-1 yangu, ni ma C4
Nani huyo anaingia kwa stu, bila hata four
Ka umeshikwa mi siko usikubali kutalk
Toka hapa ina ka umeanza kuforce
ย