Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Mfisadi
Toxic Lyrikali
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
(Who-who-who-who-who-who?)
Huku Eastlando huezi jua nani ndio dingo
(Who-who-who-who-who-who?)
Angie Angie shake your body
Four na ka-mbao tunalegalize it
Huyu dem ni mauru haezi kosa ganji
Cods wa umojing ameamua kua bandit
Sha-sha-sha-sha-sha mapangale
Shembeteng inashukisha shashare
Gra-gra-gra-gra nachafua scene bila Fe
Nilikesha juu ya aah, kudoze ni mchanare
Bado mfisa na bado mfisadi
Pasi venye warena huku hivi
Siezi lambana labda rizla
Huezi stand ka' we ni wa kucheza tifla
Bado mfisa na bado mfisadi
Pasi venye warena huku hivi
Siezi lambana labda rizla
Huezi stand ka' we ni wa kucheza tifla
Who's that ananichungulia kwa window?
(Who-who-who-who-who-who?)
Huku Eastlands huezi jua nani ndio dingo
(Who-who-who-who-who-who?)
Nishaipatana na gangster 24-7 mneti anahate
Kama Ali kuswali sikuangi late
Naombea soulmate asikue tena inmate
Sidai kuoverthink washa gunga meditate (yo)
Si tuko juu na kushuka labda stairs
Tumekuja in pair kudisconnect the paired
Hatuezi itisha za macho wamebuya wanastare
Uproot kwa meda ukishindwa kumea, si kawaida
Nang'am vile nasell usinpee mawaidha
Kuchorewa saba ndo inaweza sababisha
Gwangi na gwangi kutaftana vichwa
Ukiniletea doh si mi napanga shagla
Bado mfisa na bado mfisadi
Pasi venye warena huku hivi
Siezi lambana labda rizla
Huezi stand ka' we ni wa kucheza tifla
Bado mfisa na bado mfisadi
Pasi venye warena huku hivi
Siezi lambana labda rizla
Huezi stand ka' we ni wa kucheza tifla
Who's that ananichungulia kwa window?
(Who-who-who-who-who-who?)
Huku Eastlando huezi jua nani ndio dingo
(Who-who-who-who-who-who?)
ย