Skip to content

NTAMBIA NINI WATU

Dmore feat. Domani Munga, NellyTheGoon & Parroty
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu? Akisema ananipenda, ntambia nini watu? Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu? Akisema ananipenda, ntambia nini watu? Yoh amereremba mi humnyc Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu? Ni mtamu na ni fries Tamu na ni fries, ntambia nini watu? Cheza lotto, cheza kamari washa nare Purura ruracio nilipull up ka odinare Kula mbleina mbosho mjoro msare na suruari Gizani baze ngware chebe mchwape na Mshwari Moshi na itoka, harufu haitoki Msupa wa ghetto nilimpeleka katululu shopping Ndege bogi benda, rowesa in de Rong rende hizo mbogi genje Seska kwa mbavu yu hunituliza roho Mshenzi huyo swanse amenilkula brown Nilimkemba na madigola akafungua roho Nikiwa matundu, mavitunguu na Dmore wa Ochungulo Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu? Akisema ananipenda, ntambia nini watu? Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu? Akisema ananipenda, ntambia nini watu? Yoh amereremba mi humnyc Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu? Ni mtamu na ni fries Tamu na ni fries, ntambia nini watu? Brathe nimekafunga ka shop za Bet In Pedi wangu huuza gode ndani ya canteen Mi hupiga ngasha kwanza nikiwa taxin Hio ndo njaro ya kuhata Covid 19 Cha mkufuu mwanafuu Ha! Na akila mwanafuu Hu! Cha mwanafuu mkufuu Hu! Na akila mkufuu, aii Hawezi konda Hata ukule feelings bado hauwezi nona Dem alikula vela akajipata kwa mrota Mboka ni mboka na nyoka ni nyoka aaiii Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu? Akisema ananipenda, ntambia nini watu? Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu? Akisema ananipenda, ntambia nini watu? Yoh amereremba mi humnyc Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu? Ni mtamu na ni fries Tamu na ni fries, ntambia nini watu? Confessions, confessions Nafungua roho ndo niji-validate Kutokanga bila juanga huyo si mimi Nakata wasupa buda si ati nini Sexting mi na Diana Kwa giza ni saa ile banye amelala Omusakhole we wamboreshi Omusakhole we wamboreshi