Skip to content

Mizani

Zakah Ukooflani
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Ukituona ndani ya club, samahani Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Wakituona ndani ya slums... Ukoo Flani! Elfu mbili na sita, nashika, nazika, naandika mistari, mizani Methali mezani, ulidhani ni nani Amekuja kubadili family zote za ghetto Na mental, vitendo, mienendo (Hah!) Hebu punguza mapupa za media, kipindi ni ya MAU double, penye si hu-struggle Kupita through milango za dancehall ni jasho za Dando Iwe hardcore ama commercial tuko macho, macho Uncle nipe heshima Lazima, hustler atashiba kabla alipe keja, teja Afadhali awe kilema, hema kabla ulale jela Msela, tingika na mabega Kubali we ni member, member Wahenga walisema: Mgema akisifiwa, lazima utazidiwa Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Ukituona ndani ya club, samahani Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Wakituona ndani ya slums... Ukoo Flani! Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje Soma gazeti za Dandora zinasemaje Uko kwa mikono za polisi utahepaje? Umekutana na jambazi, si ujikate Ukoo Flani wakiwa ndani usijishashe Kama una gode na ki-lighter si ukiwashe Zikusanye, usijibanze Heri ujikaze, wasikufuate Ni mapema itabidi ujipange Hawa mafala hawataki si tumange Nipate kwa club, lazima wajirushe Tupate kwa slum, lazima tuwakilishe Jipate kwa show, lazima ujulishwe Ni hip hop, ni hii song Hai-distort hii single (Ni nini?) Ni legal, ni lethal ilivyo UK-double O, MAU double Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Ukituona ndani ya club, samahani Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Wakituona ndani ya slums... Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Ukituona ndani ya club, samahani Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje? Tukipatana ndani ya club, ho, niaje? Ukoo Flani ndani ya lab na mizani Wakituona ndani ya slums... Ukoo Flani! Kama umeshikwa na magava mitaani Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje Kama umekutwa ukikunya hadharani Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje Kama umekutwa ukilala darasani Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje Soma gazeti za Dandora zinasemaje Ukoo Flani ikiwa ndani usijishashe Ukoo Flani ikiwa ndani usijishashe