Chungu
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Sitolipa hadhi dishi
Chungu nikakidharau
Hata mkinishawishi
Siwezi ingia hamu
Sitoingia utashi
Nawaomba mfahamu
Ladha yake ya mapishi
Ndio isonisha hamu
Vyote nineshatumia ร2
Mapishi kujipikia
Mengi yakitaalamu
Ladha nimegundua
Wapi imezidi tamu
Na chungu hakina doa
Chakula chake adhimu
Msinibeze wenzangu
Pia na kunilaumu
Haya maamuzi yangu nataka munifahamu
Wapo wapenda vichungu
Wakaviacha vitamu
Sikiachi chungu changu
Dishi lenu sina hamu
Niacheni Ladha naijua mm kwenye chungu changu
Kaeni na dishi lenu
Niacheni na chungu changu