Skip to content

Sasambua

The Mafik
Popularity · Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Tumuulize nini dira ushanipa(Ushanipa) We ndo wangu rubani nakwea pipa(Pipa) Taabani vitu unavyonipa mama(Nipa) Chumbani - kodi nishalipa(Nishalipa) Ulivyoumbika chuchu saa sita Ukiniita naitika, naitika Usikunje ndita, mapicha picha Oooh naridhika, naridhika Basi kata(Kata) Oooh Kata eeh(Kata) Baby ng'ata(Ng'ata) Aah ng'ata eeh(Ng'ata) Basi kata(Kata) Oooh Kata eeh(Kata) Baby ng'ata(Ng'ata) Aah ng'ata eeh(Ng'ata) Namganda ganda Oooh kama ruba Namkanda kanda Show navuruga Nime sanda sanda Wazungu wanakuja Yaani mpaka ja mpaka ja Sio mbali buda Ulivyoumbika chuchu saa sita Ukiniita naitika, naitika Usikunje ndita, mapicha picha Oooh naridhika, naridhika Basi kata(Kata) Oooh Kata eeh(Kata) Baby ng'ata(Ng'ata) Aah ng'ata eeh(Ng'ata) Basi kata(Kata) Oooh Kata eeh(Kata) Baby ng'ata(Ng'ata) Aah ng'ata eeh(Ng'ata) Aaah, pinduka usiogope ropo ropo Aaaah, sasambua mokomoko Aya basi pika pakua bandua ukoko Laini laini bokoboko