Skip to content

Kidani

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

I wish unipende Unichunge, nisiende kwingine Tena unifunge, unifumbe na macho Nisione mwingine Mhhh Naheshimu maamuzi ya kuwa nawe Usinifanye nijutie nionekane mpuuzi dunia inishangae Penzi languu Ukalihifadhi mapenzi uyafanye baadae Penzi lako tamu asali; Baby nipe Nikabidhi nipe kibalii Kwa mbwembwe nita... kiitikio Penzi tamu asali, baby Nikabidhi nipe kibali Ukinipa kidani, nitalala nacho, Ukinipa kidani, nitalala unajua we ndo dawa mwenzako kiugua kukukosa nachachawa Bila shaka unajua Tena, kwako mi si chochote Sisikii sioni, sijiwezi kwa lolote Aah aah aaah Maneno ya nje usije yapa mwanya Oooh my love Zidisha kipimo usije yagawanya Oooh my love Heshima, upendo na kuthaminiana Ooh my love Tufike malengo tukishirikiana Penzi lako tamu asali Baby nipe Nikabidhi nipe kibali Kwa mbwembwe nita Penzi tamu asali, baby Nibidhi nipe kibali Ukinipa kidani nitala nacho Ukinipa kidani talala