Skip to content

Mtaniona Hivi Hivi

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Jua ulianza ufizi ndio meno yakaja Namuamini mwenyezi ndie mtoa haja Sitakonda ngozi kwa vitisho vya waja Na wenu uchochezi na hizo bwabwaja Kuharibu hamuwezi alopangiwa mja Kazi ya mwenyezi ngumu kwa mja Kama wangu kikazi nipo nawangoja Kama ni wakwezi tungueni makoja Aah heshima yangu imewatia kiburi mnanipaka matope Na utu wangu umewatia ujeuri mnaona mnilipe Aah heshima yangu imewatia kiburi mnanipaka matope Na utu wangu umewatia ujeuri mnaona mnilipe Aah basi wenzangu huo si ujabari hayo ni maruperupe Aah maneno chungu na kuniwekea nadhiri mie ili niogope Aah basi wenzangu huo si ujabari hayo ni maruperupe Aah maneno chungu na kuniwekea nadhiri mie ili niogope Nyie si mungu punguzeni mukari na yenu mapepe aah Nikosa langu kukaa nanyi vizuri nikuarepe nikurepee Nyie si mungu punguzeni mukari na yenu mapepe aah Nikosa langu kukaa nanyi vizuri nikuarepe nikurepee Mambo mengine nomaa washkaji hayapendezi Majina kuchafuliana kwa sababu ya mapenzi Mambo mengine nomaa washkaji hayapendezi Majina kuchafuliana kwa sababu ya mapenzi Japo ukweli Hanna aaaah mnamuudhi mwenyezi Ohh mie mtaalamu sana aah ila kwa huyu siwezi Japo ukweli Hanna aaaah mnamuudhi mwenyezi Ohh mie mtaalamu sana aah ila kwa huyu siwezi Kama mna hamu sana nnae wangu mpenzi Wenyewe tunapendana anashona nadarizi Kama mna hamu sana nnae wangu mpenzi Wenyewe tunapendana anashona nadarizi Mmenikuta muungwana Nakuamini mwenyezi hivi hivi mtaniona kunishusha hamuwezi Mmenikuta muungwana Nakuamini mwenyezi hivi hivi mtaniona kunishusha hamuwezi Mtaniona hivi hivi ooh mtaniona Aah kwangu mtasubiri sana, mtasubiri sana La kusema mimi sina na mayoni sina fundo kaniongoza subhna Taratibu wangu mwendo hada ya mja hinena muungwana ni vitendo Angali mungu anaona roho zenu zina fundo Hivi hivi mtaniona sihofu vyenu vishindo Sintojitia hashuo kusema yasio na maana msimamo Ndio huo Mungu anatosha sana muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama Oooh mtajibeba aaah mtajibeba Siijali vishndo nyenu sihofu porojo zenu Mmenipandisha mizuka tawile tawile tawilee Aaah mzuka wangu umepandaaa tawile tawile tawilee