Skip to content

Baridi

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Nawaza mbali sana Troney eazy, aye yoh Tron Kuna hadithi za paka na panya Alafu kuna ya mimi na yeye Kama mchuzi wangu bila nyanya Ndio mimi basi siwezi bila yeye Ni kweli pia napenda utani Na swala la kumpenda yeye niko serious Na ukitaka un'jue kiundani Basi mtongoze nikuonyeshe kazi Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo Yaani n'na mmoja mpenzi Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo Mimi mambo ya kuchiti siyawezi Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi (Habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi Mmh Tron this is amazing Aah, ni Zuchu-chu-chu-chu Ewe hakimu mtukufu naomba niiwasilishe kesi Namleta mhalifu, anafanya moyo wangu uende resi Huyu kanifanya mimi nimekuwa mseme Imekuwa ngumu sana, hata tu kutoka nje Na ukubwa watengana naletewa peremende N'sipokula twagombana, eti hataki nikonde Mwenyewe nd'o n'na huyo-huyo Ya'ni n'na mmoja mpenzi Mwenyewe ndio n'na huyo-huyo Mimi mambo ya kuchiti siyawezi (Habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi (Ah, habibi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi (Mi' nahisi baridi) Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi Oh baby, yeah, yeah, yeah, yeah Oh baby, yeah, yeah, yeah, yeah Baby, yeah, yeah, yeah Baby, yeah, yeah, yeah, yeah Ooh Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi Habibi, nakupenda mpaka nahisi baridi