Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
ANGUKA NAYO (WADAGLIZ)
From The Hood Music
Popularity ยท Moderate
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Ni wa da, ni wa da, ni wa daglis
Ni wa da, aah aah, najua mshaskia
Ati ati,tu ju mshaskia, kwa daglis
Aah Cheki Cheki, ati
Ju mshaskia tuko riang nikublast
Huwanga bad unachukuliwa madam (beba)
Anguka nayo itabaki umeflow na vibe (beba)
Anguka nayo kama uko single for now
Mdagi mdagi mteja hapatikani
Adi late night saa sita ndio utaniwai
Nikupin location na niko far na Nai
Si ukate call niko chuom mbaya G
Mi najua utakuom irris what irris
Acha nikushow form ni adi dawn
Shika mpoa na twende chini kwa chini
Akiwa adi na mini
Sai tunaskiza Shincity tunafeel free
Take a video na upost pale NGC
Jina ni Kantel kurap si ni talent
Anguka nayo, eei, anguka nayo
Anguka nayo twende down low nayo
Stand up to your feet mikono juu alafu click
Tuliza pesa alafu one lege
Anguka nayo, one lege
Anguka nayo (ati)
Anguka nayo (ati)
Anguka nayo (ati, mana)
Anguka nayo (ati, mana zoza)
Anguka nayo kama uko na new catch
Anguka nayo ka unaparty na magwash
Anguka nayo round two kwa hi bash
Anguka nayo ati, anguka nayo ati, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo ati
Ati, anguka nayo, ati, anguka nayo
Nakatika msupa we banjuka
Cheza chini ukikwenda hizo madhudha
Anguka nayo baby girl ushaitika
Mdagi mdagi matisho za wadaglis
I'm a darling tangu serikali, ju ni Siri Kali tamu kama asali
Si mnajua ni nani, flow mshatii
Key ndio nimedunga hapo down inchi
Wewe, kuteka wapoa daily mi ti
Aah, skia beba
Anguka nayo (anguka nayo)
Anguka nayo (anguka nayo)
Anguka nayo (anguka nayo)
Anguka nayo (anguka nayo)
Anguka nayo (anguka nayo)
Ati anguka nayo msupa amefeel relaxed
Anguka nayo kama uko na new catch
Anguka nayo kama unaparty na magwash
Anguka nayo round two kwa hi bash
Ati anguka nayo ati, anguka nayo ati, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo ati
Ati, anguka nayo, ati, anguka nayo
Anguka nayo kama uko na new catch
Anguka nayo kama unaparty na magwash
Anguka nayo round two kwa hi bash
Ati anguka nayo (anguka nayo)
Ati anguka nayo (anguka nayo)
Mana anguka nayo
Malo anguka nayo
Anguka nayo
ย