Skip to content

Gin Ama Whiskey

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Utakunya gin ama whiskey? (Gin) Ladies say hey ukina tipsy, (hey) Na unataka chupa moja ama mbili (mbili) Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser) Utakunya gin ama whiskey? (Gin) Ladies say hey ukina tipsy, (hey) Na unataka chupa moja ama mbili (mbili) Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser) Utakunya gin ama whiskey? (Gin) Gin ama whiskey? (Gin) Utakunya gin ama whiskey? (Gin) Gin ama whiskey? (Gin) Yoh aah Niko maji ka spongbob na stargat Tabia zilifanya motto wa chama akiwa nacada Beer moja andas njugu karanga Bado uko soba tumekunywa tangu jana Kitendawili? (tega) Kitendawili? (tega) Glass yangu inakinywaji bila chaser Munakunywa nini? Gin ndo inaweza Alfu waiter weka vodoski kwa meza Na sina cash naweza lipa na mpesa? Ngaleta fine whiskey, ngaleta chaser Ngasema napenda watoto ngawesa Don't drink and drive that's a wrong thing But ni german machine iko kwa parking Designated driver pia aki maji Nasiwezi lala mbukla ama kwa lodging Gin ama whiskey? (Gin) Ladies say hey ukina tipsy, (hey) Na unataka chupa moja ama mbili (mbili) Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser) Utakunya gin ama whiskey? (Gin) Ladies say hey ukina tipsy, (hey) Na unataka chupa moja ama mbili (mbili) Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser) Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey) Gin ama whiskey? (Gin) Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey) Gin ama whiskey? (Gin) Ukiniona niite chairman (chairman) Pewa mbili Ukiniona niite muhesh (sema muhesh) Pewa mbili Tunaanza polite na mvinyo Tukiteremsha na kamino Nikilewa me hukua single Kunywa pombe tuanze kumingle Ka akuna tambla tunatumia vikombe Ka akuna vikombe tunatumia mikebe Lazima tulewe, itunice ndo tupige makelele Aah leo nikutingika, nikulewa leo nikudingika Tafuta za uber, usijali mzinga nitanunua Tunapiga sherehe usiku mzima adi tuone jua Niko na swali niulize? (eeeh) Ni ulize? (uliza) Niko na swali niulize? (eeeh) Ni ulize? (uliza) Ni nini ukikuywa lazima ukunge sura? (shots shots) Munataka mzinga ama munataka shots? (shots shots) Mutakunywa Gin ama whiskey? (Gin) Ladies say hey ukina tipsy, (hey) Na unataka chupa moja ama mbili (mbili) Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser) Utakunya gin ama whiskey? (Gin) Ladies say hey ukina tipsy, (hey) Na unataka chupa moja ama mbili (mbili) Ka we ni gazla chaser ya nini (dry no chaser) Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey) Gin ama whiskey? (Gin) Utakunya gin ama whiskey? (Whiskey) Gin ama whiskey? (Gin)