Skip to content

Hubby

Teslah
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Mmmmhh yea you know, hubby Hubby hubby Aki walai let's go Like step pause step, pa pause When you turn around and take it to the top Like step pause step, pa pause When you turn around and take it to the top like mmh TESLAH Karibu uchovu mim nitakutibu Nikukande mgongo nikulishe madondo Apettiser ni ya nyama na muhogo Uku jirani ni umbeya tu Ju, wakona wivu ukinipea boo Umenijaza kifuniko ndio maana Nitakuvuta kama kikoo So baby tell me, vile siku yako imekuwa mi nataka kujua Daily, unangangana tu kifua kuniletea maua Kweli, ata kwenye joto na mvua we ndio wangu for sure Penzi furaha yangu kukuona everyday Cause your my hubby hubby Unanipa kila kitu you make me feel so happy happy Ntakuzalia Watoto na watakuita daddy daddy Tabasamu kwenye ndoto you know you sweet like honey honey NDOVU KUU It's like you nakutaka is true Iyo mwili ni kamili haina wengi just few It's just you maajabu kitrue Mahesabu za gizani 67 plus 2 Vile tulipatana ilikuwa ni story ya jah Vile tulikatana ilikuwa ni story ya njaa Tulipeleka sana ukanjazia ikajaa Umemchanganisha kjana nimeshikwa at ana kichaa NDOVU KUU Khai khai khai, injili injili injili Vile mi nakufuta daily na daily na daily Una makali pilipili ya chilli, ya chilli Mi narudianga mara ya pili, ya pili Nastill trilly aiii Uncle Njogu huu ni ndovu na si simba Msituni tambia mbovu za kuchimba Tarumbeta hufanya warembo wanaimba Na wakiteta bado tembo anavimba So baby tell me vile siku yako imekuwa mi nataka kujua Daily, unangana tu kifua kuniletea maua Kweli, ata kwenye joto na mvua we ndio wangu for sure Penzi, furaha yangu kukuona everyday Cause your my hubby, hubby Unanipa kila kitu you make me feel so happy, happy Ntakuzalia Watoto na watakuita daddy, daddy Tabasamu kwenye ndoto you know you sweet like honey, honey Oooo