Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Nimpende Nani
Diamond Platnumz
Popularity ยท Moderate
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
nimpende nani nimpende eeeh
nimpende nani nimpende aaah
nimpende nani nimpende eeeh
nimpende nani nimpende aaah
we nilikuwaga na mpenzi akanizingua
hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua
isije siku miezi naye akanisumbua
ikawa tena kitenzi mzigo kuutua
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda
we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa
wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani!!
nimpende nani nimpende eeeh
nimpende nani nimpende aaah
nimpende nani nimpende eeeh
nimpende nani nimpende aaah
yasiwe kama ya wema sepetu kila siku magazeti hajui nidhamu na mila za kwetu mjuzi kupetipeti
simtaki kama uwoya ni mtemi ana ana hasira mpole kama joketi
ila sauti kama wema akiwa analia kicheko kama cha fetty
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
nikazama na huba ya mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda
we si unajua wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa
wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani!
nimpende nani nimpende eeeh
nimpende nani nimpende aaah
nimpende nani nimpende eeeh
nimpende nani nimpende aaah
we nilikuwaga na mpenzi akanizingua
hivyo nataka muenzi wa haya maradhi naugua
ย