Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Injili Ya Yesu
Fanuel Sedekia
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Dunia ya sasa ni ya mabadiliko
Ya sayansi uchumi na utamaduni
ila nina ujumbe kwalo kanisa
injili ya Yesu haibadiliki ร2
Hata kama dunia ya sasa ndiyo hiii
Bado twakuletea injili ile halisi
Ile ya Yesu mwenyewe nao mitume
Uweza wa Mungu uletao wokovu ร2
Injili yake Yesu nao mitume
ilifungua wagonjwa watu nao waliokoka
tena imetuletea tumaini milele
Nasi twakuletea injili hiyohiyo ร2
Hata kama dunia ya sasa ndiyo hiii
bado twakuletea injili ile halisi
ile ya Yesu mwenyewe nao mitume
Uweza wa Mungu uletao wokovu ร3
tena ime
ย