Skip to content

Unaware

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Hallelujah situation divine Hi maneno hainanga design Bila mabawa checki uko cloud 9 With The Storyteller, ay Heartbreak piga disguise Third day hajareply Call police pigia 99 Matata, matata Unaware Umenipata, unaware Suruali chini, unaware Umenipata, unaware Unaware Umenipata, unaware Suruali chini, unaware Umenipata, unaware Niko party na ni Friday Niko sherehe na ni birthday Na leo siezi taka nuksi inpiate It's either my way, ama highway Na kuna toto ako on my case Alinicheki akablow some kiss Nikajua anadai some of this I've been praying for a night like this Ah, tukadance kidogo, tukaflirt kidogo Tukashika uber hadi baba dogo Tukicheza rhumba akilamba lolo PLO Lumumba kizungu si kidogo Ah, ah Mbonda kuna njeve like this? Mbona mlango wazi like this? Ah, ah Mbona umenifanya like this? Mbona umenisanya like this? Unajua simu ni sumu Ukishika yangu pressure utapata Najua unanilaumu Nakile unachotafuta utakipata Unajua simu ni sumu Ukishika yangu pressure utapata Najua unanilaumu Nakile unachotafuta utakipata Unaware Umenipata, unaware Suruali chini, unaware Umenipata, unaware Unaware Umenipata, unaware Suruali chini, unaware Umenipata, unaware Ka we ni simu bas ungekuwa ka iPhone Ka mi ni sumu, mm, ningekuwa ka python Sikupi ring mi hapana Mike Tyson Napenda venye si huring ding Kwenye lights on Hadithi njoo, utamu kolea Nikam ngojea dem, kutokea Akanipata unaware Sai ashakuwa nerea tulifikaje there Stress toa na mimea Roho haina mifupa Ni rahisi kuivunja mama Mbona hauna huruma? Oh, Lord Pressure ndani ya mishipa Nimekubali nimenyakwa mama yo Mbona hauna huruma? Oh, Lord Unajua simu ni sumu Ukishika yangu pressure utapata Najua unanilaumu Nakile unachotafuta utakipata Unajua simu ni sumu Ukishika yangu pressure utapata Najua unanilaumu Nakile unachotafuta utakipata Unaware Umenipata, unaware Suruali chini, unaware Umenipata, unaware Unaware Umenipata, unaware Suruali chini, unaware Umenipata, unaware (oh, Lord, oh, Lord)