Skip to content

Gangster Memes

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Kuna bash kwangu na ako ndethe Huyo ni nani ni Munga ni mimi Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh Anaweza mawezere wezere Unabonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Unabonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster Ati unabonga gangster na uko na memes Ooh Dodo, Dosh Niko sema nilipata missed calls Mi huzima tenje niko riko Hohohoho Alah! kabisa walichora Wali agree nilikwara Next door neighbour Alibadilisha simu after Covid Wah! Nategea teo wangwa Street life ni curriculum Nangojea exams Munga nimeichambua Kuna bash kwangu na ako ndethe Huyo ni nani ni Munga ni mimi Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh Anaweza mawezere wezere Unabonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Unabonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster Ati unabonga gangster na uko na memes Sa mbona ni, unja ni Piga mboka mpka mtaani Dunga ngithe pesa money Bonya ugali mpaka maini Cheza rwimbo cheza chini Ughaibuni, ughaibuni kwa wahuni Kuna bash kwangu na ako ndethe Huyo ni nani ni Munga ni mimi Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh Anaweza mawezere wezere Unabonga gangster na uko na memes Ahahahaha, aiyayayaya Ndo iyo ndo iyo Leta Bonga gangster na uko na memes Unabonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster na uko na memes Bonga gangster Ati unabonga gangster na uko na memes