Skip to content

Happy Birthday

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Eyo Trone Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Siku nyingine ya furaha Am so happy, happy, happy (happy, happy, happy) Mwaka mwingine nime vuka Am so happy, happy, happy (happy, happy, happy) Asante mama, asante sana kwa kunizaa Upendo wako moyoni mwangu hutochuja Siku kama leo ulimwaga chozi la furaha Mtoto wako damu yako nimekuja Niko na marafiki (ah รฉh) Kuna zawadi (ah รฉh) Twa cheza mziki (ah รฉh) Wana mwaga maji Basi post picha yangu (ah รฉh) Niletee na keki yangu (ah รฉh) Tufurahi ndugu zangu (ah รฉh) Maana leo ni siku yangu Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Oh my God it's my birthday (it's my birth day) Oh my God it's my birthday hey (happy, happy) Happy birthday to me (happy, happy) Happy birthday to me Kata keki (kata, kata) Tule (kata kata) Leo siku ya furaha (kata, kata) Tule (kata, kata) Muite chap, chap Mutua (kata, kata) Kama anakupa chukua (kata, kata) Kata (kata, kata) Kata (kata, kata) ร‰h, kwani baba mnataka nini? (tupe pombe) ร‰h (tupe pombe) Nini? (tupe pombe tulewe) Vipi hamtaki juice? (tupe pombe) Maji vipi? (tupe pombe) Hata soda? (tupe pombe tulewe) ah sawa, sawa Kina dada mnataka nini na nyie? (tupe nyama) ร‰h, (tupe nyama) Ugali? (tupe nyama tushibe) Aya wa toto (tupe soda, tupe soda, tupe soda tukunye) Eyoo Trone