Kifo Cha Mende
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa(one time)
Wee waka waka
Waka!
Cheza doba zitunice
Ju zetu zimenice
Mwanaa
Sema uuuuh (nayo) uuuuh (nayo nayo)
Wiiii yaa yaa
Kwa majina ni Iyanii (nayo)
Tunakujua!
Cheza doba zitunice
Ju zetu zimenice
Cedo
La la la
Hako kapeng ni ka area
Na kakitaka mi uichapa (chapa)
Nakula kiapo ndai hapa
Ajeee
Sit don pon it
Nikirusha mamistari
Viungo we nengua
Mwili hatari
Whine and kotch
Nishikishe mali
Twende maeneo, chuma ilale ndani
Iyanii bad boy, kijana ya ingo
Napenda njugu na mukombero
King wa mastyle napenda mastingo
Kifo cha mende ama wagido
Uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa
Kufa dereva, makanga
Leo ni kifo cha mende
Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa
Leo tunavunja kitanda
Kudonjo, kudunda na yeye
Nayo
Nayo nayo (anguka)
Nayo
Nayo nayo (dunda)
Nayo
Nayo nayo (mimi)
Nayo
Nayo nayo
Wayaya yah yah yah
Maji imepatana na wire ya stima
Hata haya sina
Naipiga ni John Cena
When I'm done you can't see me
Aaah vuta kaya
Harufu mbaya
Ni ya majenge na mandukulu mbaya
Unaishi wapi yahaya (aaii)
Unatoka wapi ulaya
Nyash yake soft
Kama mattress
Naipapasa inanitoa stress
Kama mzinga nitakabless
Na majirani watawitness
Iyanii bad boy kijana ya ingo
Napenda njugu na mukombero
King wa mastyle napenda mastingo
Kifo cha mende ama wagido
Uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa
Kufa dereva, makanga
Leo ni kifo cha mende
Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa
Leo tunavunja kitanda
Kudonjo, kudunda na yeye
Nayo
Nayo nayo (eeeh)
Nayo
Nayo nayo (dunda)
Nayo
Nayo nayo (mimi)
Nayo
Nayo nayo
Aaah
Pull up!
Manake!
Rudia tena!
Uuuuh (nayo) uuuuh (nayo, nayo, anguka)
Wiiii (nayo) yaa yaa (nayo nayo)
Kufa (nayo) dereva makanga (nayo nayo)
Leo ni kifo cha mende (nayo)
Sema uuuuh uuuuh wiiii yaa yaa
Leo tunavunja (nayo) kitanda (nayo nayo)
Kudonjo kudunda na yeye (nayo nayo)
Nayo