Skip to content

Lipo Jina

Fanuel Sedekia
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

lipo jina- fanuel sedekia lipo jina ninalo penda sana lipo jina ni jina la yesu x2 jina lenye uwezo jina lililo kuu jina lenye nguvu (ni jina la yesu) x2 pambio x2 hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo (ni jina la yesu) x2 pambio x2 magonjwa yana majina shida zina majina lakini lipo jina lililo kuu (ni jina la yesu) x2 pambio x2 jina lenye uwezo jina lililo kuu jina lenye nguvu (ni jina la yesu) x2 (pambio x2) x2 ala za muziki pambio x2